Nabembeleza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nabembeleza - Aslay
...
Asali wa moyo wangu
Kafunzwa bara penzi kalipata pwani
Sio Malaya kama ivyomnavyodhani
Mahabuba kanitosha kwa mizani
Sauti nyororo nyoka anatoka pangoni
Wapande juu wakazibe(wenye madonge)
Kama awatosheki wape kamba (na wajinyonge)
Me na we ni alfa na omega(wapende wasipende)
Me kwako nazidisha mapenzi(we unipende)
,, ,,,, ,,, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,, ,,,,,,,, , , , , , ,