Rudi Darasani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Rudi Darasani - Aslay
...
oyaaah
bado hujajua bado hujajua utamu wa penzi,unanisumbua unataka kazi huwezi kazi
rudiii tena darasani rudii tena darasani ukasome
mwenzako mi international game za uswazi sizitolei macho, nafanya zakibabe huwezi shoo zangu zitakutoa jasho
maji ya kisima unachutama sio kusimama
ukipewa karoti ebu tafuna sio kumumunya na ukiona bakora liaa liaa ila unanishangaza bi dada unajitia nunda
Rudi tena darani yoyoo masomo mengine huyawezi yatakutoa roho oo
Mamama kungwi katoa gogo eeh kungwi kungwi katoa gogo aeee mwalimu katoa gogo eeeh mwalimux2
wamekula hasara wazazi wakoo wafate pesa zao kwa kungwi wakoo ooh ,mwali una guna guna ka jibwa koko tumemzidi tembo kwenye uzitoo
kwann nisichepuke nikatafute mapenzi mwali unataka muogo wakati unashindwa kula ndizi ,sijatulia mapepe bibie hauniwezi nimezoea masotojo uwanjani sipigi cha mkwezi aaah
Rudi tena darasani yoyo masomo mengine huyawezi yatakutoa roho
Mamama kungwi katoa gogo ee kungwi kungwi katoa gogo aeeeh mwalimu katoa gogo eeh mwalimuax2
Mchana unajifunika shuka usiku unazima taa mapenzi gani kukurupuka hutaki ata kujiandaa
Matango pori matango matango pori ee kawalishe wengi matango matango pori
Mmmh matango pori matango matango pori mimi unipati siyali matango pori