HASSANI Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
HASSANI - Meja Kunta
...
We we ........
we we we ......
we mo shizoooo utawaua .....
Oya weee (oyaa weee ...)
oyaa weee .....
oyaa weee .....
Mo shizoo shika
weeee
Oya wahuni niwape story ya Hassan
Oya wahuni niwape story ya Hassan
Hassan huyu huyu, Hassan mtoto wa jirani
Juzi kati kafumwa na mke wa jirani,
Kufa au kubakwa kaulizwa achague nini,
Hassan amepona nauliza amefanywa nini
wee ....
wee ...
nauliza amefanywa nini ...
wahuni .... wahuni ....
eyoo... eyoo keni
oyaa weee ....
oyaa weee ....
Kenny shikaa ..
wee..
dada kaomba lift kakaa seat ya dirishani
kaomba lift anaenda sinza madukani
chakushangaza anataka ashuke njiani,
na kwenye gari nilikuwa na elfu hamisi,
anataka kushuka na hela yangu siioni,
nawauliza wahuni nimfanye nini,
wahuni nimfanye nini,
wahuni...
wahuni...
(beat only)......
creat by Richard Deogratias Sombi (richarddeo007@gmail.com)