Loading...

Download
  • Genre:Singeli
  • Year of Release:2022

Lyrics

Kama Ipo Ipo - Meja Kunta

...

Oya...

Aah...


Ayo Kenny!


Najua unayopitia maumivu tu

Unalia

Unawaza ungejua majaribu haya

Ungeyakimbia

Najua unayopitia maumivu tu

Unalia

Unawaza ungejua majaribu

Ungeyakimbia

Ila basi ushachelewa

Unayempenda kapenda pia

Umebaki kama mkiwa

yule njiwa kaota nyoya kachukuliwa


Haya wewe

ngoja nikwambie


Wewe ngoja nikwambie


Me mwenzako yalinitesa mapenzi mapenzi

nikakosa usingizi

kisa kupenda

nikaitwa king'ang'anizi nizi

ilinipa simanzi

Me mwenzako yalinitesa mapenzi mapenzi

nikakosa usingizi

kisa kupenda

nikaitwa king'ang'anizi nizi

ilinipa simanzi


Haya wewe

ngoja nikwambie


wewe ngoja nikwambie


wewe kama ipo ipo tu

zamu yako kesho usijali

ipo tu

utapata usijali

kama ipo tu

basi jikaze utapata usijali

kama ipo tu

utapata usijali


Unaringa umepima

unakipi cha maana

unapenda shindana angalia

wigi la kuazima

nywele tatu ujachana

ukisemwa kidogo unalia

mara oh anahasira

Hana ajira

kitu kidogo bwana uchelewi kuzira

kumbe mpira

hasonadira

tena malaya hasobadili kijora


Dada pole pole

unanyata

ila kumbuka dunia

utaiacha

Dada pole pole

unanyata

ila kumbuka dunia

utaiacha wewe


na wewe


haya wewe

ngoja nikwambie

wewe ngoja nikwambie


oya eh

kama ipo ipo tu

zamu yako kesho usijali

ipo tu

utapata usijali

kama ipo tu

basi jikaze utapata usijali

kama ipo tu

utapata usijali


ah Meja! Meja! POWER!!!

na Ibrahim Ajeeb Ajeeb!

ayo KENNY!!!

Mbwa mwitu OG GEE

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status