Mume Wa Mtu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mume Wa Mtu - Meja Kunta
...
Okkeey
Tamimu hapa
Originali Boy (Eyo Kenny)
Siku hizi mapenzi tunashare
Hainaga ufagio
Ukimuita mumeo mi ndo baby wangu
Haya mapenzi tunashare
Habari ndo hiyo
We ukimuita mumeo mi ndo danga langu
We mume wa mtu ni sumu ila kwangu mtamu
Mi mwenzenu ananikosha ananipa vitu adimu
Zile sasambu sasambu vurugu kufutana jasho
Mchana anakuwa kwangu usiku analala kwako
Huu mchezo hauhitaji hasira bwana kashanielewa
Ananipaga za tatu bila ye mwache amege kisela mie
We mume wa mtu ni sumu ila kwangu mtamu
Mi mwenzenu ananikosha ananipa vitu adimu
Zile sasambu sasambu vurugu kufutana jasho
Mchana anakuja kwangu usiku analala kwako
Sifa ya mume wa mtu anagharamia usiulize
Kwangu ukimpigia yupo bize
Mambo matamu nampatia muulize
Ndo mana anang’ang’ania nikueleze (nikueleze)
Oya
Nikitaka pesa ananipatia,nguo anafua mpaka chakula ananipikia
Sio kama najisifia,kanizimikia na mpaka massage ananifanyia
Huu mchezo hauhitaji hasira bwana kashanielewa
Ananipaga za tatu bila ye mwache amege kisela mie
We mume wa mtu ni sumu ila kwangu mtamu
Mi mwenzenu ananikosha ananipa vitu adimu
Zile sasambu sasambu vurugu kufutana jasho
Mchana anakuja kwangu usiku analala kwako
Kwanza unaumia unaumia
We ni chuki ndo zinazokusumbua
Cha kwanza usinigasigasi niache nijinafasi
Sura hata mbuzi anayo we ringia bahati
Kwanza unaumia unaumia
We ni chuki ndo zinazokusumbua
Cha kwanza usinigasigasi niache nijinafasi
Sura hata mbuzi anayo we ringia bahati