Asie Cheat Nani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Asie Cheat Nani - Meja Kunta
...
oooh jamani nauliza asocheat nani!?, kati yetu asocheat nani?
jamani nauliza asocheat nani?, semeni asocheat nani? jamani nauliza asocheat nani? kati yetu asocheat nani? jamani nauliza asocheat nani? semeni asocheat nani?
sasa mbona hujaulizwaaa, unaongeaaa! maneno ya kinafki nyumbani unanileteaa, mi nampendaaa simuachiii semeni wanafki inaongeaaa yangu nafsiii nishasema simuachiii unamuita malaya we mbona unadangaaaa kutwa unamsema vibayaaaa we vibayaaaa, basi unalo bibi limekuganda kama huna bahati mjini utaisoma nambaa