Simba sports Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Simba sports - Meja Kunta
...
eeh yo Kenny mo we (aya we)×8 simba kimataifa taifa wapinzani mtasubiri washindi wa vikombe na medali bila biriani kachumbarii muulize mama jay anajua ngomezi mtawaua baa na mdogo mdogo mtanitoa roho simba nichinje mie na hizo pozi mtantoa roho bado haija tosha wahuni wapinzani hawa jitambui timu congo man na mpira hawajui muone mzee mpili analia jamani mtamuua maah mo nichinje mie kwa hiyo mihela utantoa roho jamani mie mimi ni simba machunda hakuna timu nyingine anayoikubar machunda