Inauma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Inauma - Meja Kunta
...
aaah ahh aaah aaah oyaa oyaaa heyoo Kenny
nikikumbukaga Tu nabaki nalia duuh..najua mengi wataongea .. Mola wangu nipe uvumilivu ..kuna mengi nyuma ya pazia..nasema ooooh ooh Mamu mke wangu vipi atoke na ndugu yngu ooooh mke wangu Leo namwita shemeji ynguu
kweli Kua uyaonee Mejja najionea ...mwenda pole hajikwaiiiii.mengi yaliyotokea siwezi simulia mana ...Niko hoiiiiii mmmmh oooh ooh huruma yangu na rohoooo
huruma yangu na rohoooo
huruma yangu na rohooooo
mwenzenu inanitoa rohoooo
jamani inanitoa roho
huruma yangu na rohoooo
huruma yangu na rohoooo
huruma yangu na rohoooo
inanitoa roho
jamani inanitoa rohooo
siwalitaka niteseke .nirudi temeke kwenye nyumba nitoke nihadhirikee
pale meneja anapokuwa boss inaumaaaa
kisa kigari mpaka matusi inaumaaaa
pesa kidogo nifungue kesi inaumaaa
nampaka Mejja hathaminiki inaumaaaa inaumaaaa
chaoo haposi anadai urithiii pia aolewe tuu
Chao WA mambo Leo kweli mjini kuna mambo mchawi Chobo zako tu upewe funguoo
kweli Kua uyaonee Mejja najionea
mwenda pole hajikwaiii
mengi yaliyotokea siwezi simulia mana Niko hoiiiiii
mmmmmhhh oooohhh huruma yangu na rohoooo
huruma yangu na rohoooo huruma yangu na rohoooo
mwenzenu inanitoa rohoooo
jamanii inanitoa rohoooo
huruma yangu na rohoooooo
huruma yangu na rohoooo
huruma Na rohoooo
inanitoa rohoooo
jamanii inanitoa rohoooo
pigaa mawee