Boss Kalewa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Boss Kalewa - Meja Kunta
...
Hujanunua wewe baharia..X3
Hujanunua wewe...(Eyoo Kenny)
Sawa sina pesa sina mali kwetu swaumu kali...
Mimi masikini kipofu macho sioni mbali...
Ndio alicho kipanga Mungu kidogo sijali...
Tupa tupa leo kapata tunavesha...
Oya Waiter weka bango leo tupo hapa...
Panga foleni kila mmoja atapata...
Waiter weka bango leo nipo hapa...
Panga foleni kila mmoja atapataa...Ooh...
”Nikikumbuka nnavyojituma..”Sio mimi ni pombe...,
Siwezi kata tamaa... Na nikipata chao ujazana...
Karibuni warembo mje nichuna... Nikikumbuka nnavyo jituma...
Siwezi kata tamaaa...
Na nikipata chao ujazana...
Karibuni warembo mje nichuna...
Oya Yah..!
Boss kalewa leo...Leo
Oya yAah...!
Boss kalewa leo...
Leo... Leo...
Nimelewa kwa hela zangu...
Nimekunywa kwa hela zangu...
Pombe hujanunua wewe chafu yangu...
Shusha mzinga tulewe baharia...
Nimelewa kwa hela zangu...
Nimekunywa na wanangu...
Pombe hujanunua wewe chafu yangu...
Shusha mzinga tulewe baharia...
Moja moto...Moja baridi...
Baby kavaa ko ko ko... Za mtoko wa Eid...
Changamoto mtungi ukizidi...
Unaweza ukakosa toto ukaondoka na Bibi...
Nani...Nani analeta zogo...
Ebu ita baunsa uwa sipendi fujo...
Nani...Nani analeta zogo...
Ita baunsa uwa sipendi fujo...
Sipendi fujo boss mahela...
Haina noma... haina noma ...
Beer za mseleleko (Za mseleleko)
Ndizi choma nyama choma kachumbari mchecheto... (Mchecheto)
”Oya Waiter weka bango leo tupo hapa...
Panga foleni kila mmoja atapata...
Waiter weka bango leo nipo hapa...
Panga foleni kila mmoja atapata Aah... Aah..!.Aaah. Aaah
Oya yah..!
Boss kalewa leo...Leo..Oh Ooh.
Oya yah..!
Boss kalewa leo...
Leo...Leo..
wo wo Oooh...
Nimelewa kwa hela zangu...
Nimekunywa kwa hela zangu...
Pombe hujanunua wewe chafu yangu...
Shusha mzinga tulewe baharia...
Nimelewa kwa hela zangu...
Nimekunywa na wanangu zangu...
Pombe hujanunua wewe chafu yangu...
Shusha mzinga tulewe baharia...
“Uuuuuh....
Hujanunua wewe baharia....
Sio mimi ni pombe.x3