Pipi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Pipi - Meja Kunta
...
nami nawapa pipi watoto mziki changamoto mpaka kufika nilipo naisi kipaji si ujiko eeh mola baba me nipo sina chochote juu yako nipe uhai kipato nishinde husda za waja wako kuna wanopenda majina na kushangaa eti ooh meja amepata raha shindano shinda ushindwapo