Naijua Iyo ft. Mchina Mweusi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Naijua Iyo ft. Mchina Mweusi - Meja Kunta
...
aaaah aaah aaah
(beat)
unasemaje kwani....
unasemaje kwani....
(naijua hiyo)×2
ooh na-na-na-na-na-na
(naijua hiyo)
ooh no-no-no-no-no....
(naijua hiyo)
baby basi tujirekodi.... tukimaliza tunaifuta......
(naijua hiyo)
tupo wawili ndani yanini ?
(naijua hiyo)
ukimpenda dj wala hutojuta....
kho kho kho.....
hivi ni aslay ama fally ipupa...
we malay kula ushibe shoga yangu kazi yako ngumu
(naijua hiyo)
malizia bia me tayari nshachkua room..
si unajua mbele ya chai hamnaga mkate mgumu....
(naijua hiyo)
nawe dada unaedanga njoo getto nkuonge sim....
mwanafunzi kabadili uje ntakupa pipi
(naijua hiyo)
dada ukinipenda me sitakucheat...
(naijua hiyo)
ona diamond kamfungia zuchu leo mambo hadharani....
(naijua hiyo)...........
..............