Mapenzi Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapenzi - Meja Kunta
...
Eyoo kenny....
Nasema basii nimestop kwenye mapenzii...
Me siyaweezi...
Mbona uchiizi...
Yananitesa kisheenziiii....
Nikikumbuka nyumaaa..
Siamini oohh..mainaa
Wangu miee..
Ujana tulikuwa nae...!
Akasemaa Me wanini eeehh
Asiyekuwepo moyoni wakazi gani wewe na mimi mbona hatuendani
Nyuma sitamani mbele sioni
Nipo gizani nifanye nini oooohh
Meja nimechokaaa haya mapenzi
Nimechoka
sipendi tena mieee
Meja nimechoka haya mapenzi miee
Nimechoka
Sipendi tena miee eeehhhh
Sipendi tena mieee
Nasema basi nimeamini me siyaweeezi
Haya mapenzii..
Mbaya yake hadhi..
Yamenitesa kishenzii...
Nenda mwambie mapenzi yanaumiza buu
Yananiliza tuu..
Mbona sina amanii..
Mi nitapendwa na naaanii..
Nenda mwambie sitamani kupendaaa...
Alinitendaaa...
Mpaka nilikondaa..
Nikaunguza kidondaa...
Tena nikitazama moyo wangu..
Maina ndo roho yangu
Kukupenda ndo matakwa yangu..
Maina chaguo la moyo wanguu...uuuuhh
......naaaaaahhh
......oooohhh
.....aaaahhhh