Moyoo Acoustic Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Moyoo Acoustic - Dayoo
...
Naitwa mangiii
Alinipenda nikiwa tingo
Kabla sijatoa single
Naungaunga mwana mtaani
Leo nimeshinda bingo
Mastar wa tiktok kule wanatega mingo
Na mesej zao nasoma naa aki namtungia na mwimbo
Alinionesha true love toka way back
Mapka leo tuna peta
Enzi izo za jeje jeyda mpaka leo tunatesa
Alinionesha true love toka way back
Mapka leo tuna peta
Enzi izo za jeje jeyda mpaka leo tunatesa
Yani mi nabaki
Nda nda mu o nda nda nda
Moyo unanipasuka ah unaenda less yanii
Nda nda mu o nda nda nda
Moyo unadunda dunda ma kama kitenesi yah ma oooh yee!
Kweli nimepata jembe ooh yani wewe
Uliniachisha mpka ukilema
Misigara mipombe ooh yani wewe
Ulinitenganisha na vigenge
Ndo mana mwenzio nikikuona eeh
Moyo wangu unadunda hapa
Aah mi nikukuona yeh moyo wangu unapwita hapa
Alinionesha true love toka way back
Mapka leo tuna peta
Enzi izo za jeje jeyda mpaka leo tunatesa
Alinionesha true love toka way back
Mapka leo tuna peta
Enzi izo za jeje jeyda mpaka leo tunatesa
Yani mi nabaki
Nda nda mu o nda nda nda
Moyo unanipasuka ah unaenda less yanii
Nda nda mu o nda nda nda
Moyo unadunda dunda ma kama kitenesi yah ma oooh yee!