Nikuone Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikuone - Dayoo
...
DAYOO ......Nikuon
Naitwa mangiiiii yani mchaga tenah
Eeeeeh mmmmh mmmh yee!!!!
Umenikaa kichwani
ndoto zangu kuwa na we wewe wewe
Kwan upo nchi gani ama upo far away
Au popote ulipo china nambie nije huko maana mi natanga tanga kipofu nisio na mwanga m simjui na wala kabila ila nimezama kina kerufu nisha nilisha wahi kumuona ila kwa fikira uzuri wake hakuna Kama yee aaaaata.
Nipige gita my love nikuimbie kutwa
I'm read
Na ningeijua namba
Hata ningekucheki basi
Nipige gita my love nikuimbie kutwa
I'm read
Na ningeijua namba
Hata ningekucheki Basi
Nikuone
I'm waiting for you ntakusubiri ( nikuone )
aaaanh!!!! hata nkiona mikono tu ntajua ni
wewe ( nikuone )
aaaanh!!!! kwanza macho yako Kama una
aibu ( nikuone )
achana na mikono tuangalie miguu
Oooooh my baby, oooooh ye x2
Na ulivyo special nataka moyo nikupe
chote chote
Twende chuga uchagani ama unataka
dodoma twende ( kote kote )
Nikupeleke kwa mama akifuata kondoo toale na huwa sitaki drama makiki ya
mitandao tuachaaane
Nipige gita my love nikuimbie kutwa
I'm read
Na ningeijua namba hata ningekucheki
basiiiiii
Nipige gita my love nikuimbie kutwa
I'm read
Na ningeijua namba hata ningekuchek
basiiiiii
uje baasi ( nikuone )
I'm waiting for you nakusubiri ( nikuone )
aaaanh!!!!! hata nikiona mikono ntajua
ni wewe tu ( nikuone )
aaaanh!!!!! Hata macho yako kama una
aibu ( nikuone )
achana na mikono tuangalie miguu....