Nikuone Remix ft. Kusah Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikuone Remix ft. Kusah - Dayoo
...
Naitwa mangi
Yani chaga tena na
Mhhh
Enhee
Mhhhh mhhhh eeh
Orght
Umenikaa kichwani
Ndoto zangu kuwa na wee(we we we)
Ah kwani uki nchi gani
Ama uko far away(awaaaay)
Au nipopote uliko jina
Niambie nije uko
Mana me natangatanga
Kipofu niso na mwanga
Me simjui jina wala kabila
Ila nimezama kina kirefu
Nilishawai kumuona
Ila kwa fikira
Uzuri wake hakuna kama yeye
(Hata) nipige gita maina nikuimbie kutwa am ready
Na ningelijua namba hata ningekucheki baasi*2
Nikuoneee(am waiting for u nakusubili)
Ata nkiona mikono ntajua ni wewe tu
Nikuone
Kwanza macho yako kama una aibu
Achana na mikono tuangalie miguu
We umeumbwaumbwaumbwaje kwa ufongo ama kwa chuma yani umeumbwaumbwaumbwaje huba lako lanitesa umeumbwa…… yani hoi taaban me naumwaumwaumwaje