Waaah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Waaah - Dayoo
...
Naitwa mangii
Nambie unataka wapii nataka nikutoe baby ooh
Sinza ama masaki nakusikiliza uwamuee
Tena nambie basi wapi ujafika babyo
Tukale mishikaki mihogo yakuchoma koko beach
Husisahau na vikope kope viini vyakubandika baby
Kama sina bora ata nikope lakini utoke chicha leo baby
Na hilo shepu lako kama lote
Ukipiga picha lazima itrend
Wakikunanga wala husiogope
Najua ukipendeza hawapendi
Kiukweli unawaka baby (wawawa)
Baby (wawawa)
Na umependeza sana (wawawa)
Uuh baby (wawawa)
Leo umependeza sana (waawaawaa)
Ooh bby (wawawa)
Waah waah
Wasikutishe izo mbwebwe ni ugai gai
Wasije wakaturoga
Wache wamoke shingoni watie tai
Sisi hvi hvi natumenoga
We unajua kuliko we kukosa mi ntajinyima
Tukawatambie washua leo
Tuagize na shisha mapema tumokee
Husisahau na vikope kope viini vyakubandika baby
Kama sina bora ata nikope lakini utoke chicha leo baby
Na hilo shepu lako kama lote
Ukipiga picha lazima itrend
Wakikunanga wala husiogope
Najua ukipendeza hawapendi
Kiukweli unawaka baby (wawawa)
Baby (wawawa)
Na umependeza sana (wawawa)
Uuh baby (wawawa)
Leo umependeza sana (waawaawaa)
Ooh bby (wawawa)
Waah waah