Sishindwi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sishindwi - Dayoo
...
izo habari zako za kunipelekesha .
naomba leo zifike mwisho
misondo ndo chako kunipelekesha
heshima naomba ifike kikomo
na kuna muda na kufumania
mpaka unaingiliwa unakataa
sio swala mana unafanya
mengi na mia nayajua mengine balaa
na huku kukaa kimya Mwaya
usiisi umeniloga naitunza heshima nana
na wala sio Uwoga
mana nikiamua kukuacha sishindwi
oyaa miii
nikiamua kukucheat sishindwi
oyaa miii
aiii
mana naipenda pombe
shishindwii
mitungi