Umebadilika Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Umebadilika - Dayoo
...
DAYOO.....Umebadilika
Naitwa mangiiiii
oyeeeee
Mbona Umebadilika swezi kukubadilisha Naona umebadilika swezi kukubadilisha ulianza na visa visa ukiniona unakunja ndita maugomvi bila visa inaonesha umenichoka mi Basi usingetia nia kaa huwezi umebadili gia nahuendi naona unachati nao tena wengi nisikufuatilie haupendi, Ni kweli unakasoro zako we binadamu najua hujakamilika ila upo kwenye maisha yangu ukiondoka yatavurugika baby........
Naona umebadilika swezi kukubadilisha x4
oye yeee eee hivyo vimini vipodozi ulivyojua ipo siku vitakutokea kwenye pua hao mashoga zako kwani hujawajua ??? wanafanya utoto Kama hawajakua hauna roho ya kibinadamu unaendeshwa na mainstagram umebadili mbaka laini zangu kiasi mbaka cha kunidharau, basi usingetia nia kaaa huwezi umebadili gia na huendi unachat nao tena wengi nisikufuatilie haupendi ni kweli unakasoro zako we binadamu najua hujakamilika ila upo kwenye maisha yangu ukiondoka yatavurugika baby.......
Naona umebadilika swezi kukubadilisha x4
MAFILLING RECOD.....