Unatosha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Unatosha - Dayoo
...
Iwe kiangazi ama Masika e, iwe jua mvua imenyesha, nitakupenda daima oweh
ikitokea nimepata, umekula tumelala, hata nkikosa umevumilia mama
Hata uzunguke dunia nzima, huwezi pata kama huyu, huu bebi wangu
Hata wakisema ngechagua ma, Kwenye milioni moja, we ndo namba moja mana unanifaa mama, moyoni umenikaa dada
unatosha, sitaki ongeza mwingine, ni wewe unanitosha, unanitosha

Utamu wa peremende, umeninogesha nikupende
Usinache ukapita upande, my wee
Ah, ntatafuta na kakiwanja tujenge, tumiliki kwetu tusipange, majirani kichwani wasitupande, minawe eeh