Loading...

Download
  • Genre:Afrobeat
  • Year of Release:2021

Lyrics

Utalala - Dayoo

...

kiukweli mi sina kitu hali yangu kama unavyoona ni mishe za kule na huku viwalo vyangu vya ilala boma je kwel umeridhiana na mi vijora vya buku sita utavaa baby kuna maneno mengi mtaani mara nakuzeesha utaimili kweli usiropoke ukinuna ukiwa na hila we niseme ata nikiwa na hasira usijifunze kukaa na jambo moyoni litakuja lisumbue baadae utakutana na nguna je we utakula vya kulumangia ndo nazingatia msaada wa ndugu sina je utavumilia umekuja mazima we uje mazima na jee baby utalala lala usingizi mororo utalala lala kwenye bangaroo giza totoro utalala lala kesho tuamkie Kiporo nashukuru umeona unifae wakati ambao nipo juu ya mawe ushaamua nshaamua na iwe sa baadae usije unikatae kiganjani mwangu usiniponyoke tupendane wambea tuwadondoshe yani baby nishike twende wote wakikutisha nipo ivyo usiogope we kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby kukupenda mbona sana tu sana baby na je wewe utakutana na nguna je we utakula vya kulumangia ndo nazingatia msaada wa ndugu sina je utavumilia umekuja mazima we uje mazima na jee baby utalala lala usingizi mororo utalala lala kwenye bangaroo giza totoro utalala lala kesho tuamkie Kiporo

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status