Weekend Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Weekend - Dayoo
...
....
oyaa
si ety eeeh
.........
ilikuwa jtatu ya mikosi
jtatu ya kufosi
ya jtatu sina ata senti
simu zangu hawashiki maboss
daah aah
sinilibeti.!
kumbe na mkeka wangu umetiki.mmmh hapatoshii
yaan kwwmba jumane ya kibosi
jumanne asubuhi ngo ngo ngo!
ebana nani? kwani vipi?
yaan kumbe wanangu wa geto too.. oya mambo vpi?
alhamis na ijumaa imefika ooh imefikaa
nataka nyoyo kusafisha
oooh kusafisha! is a weeekend
.....