Handsome ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Handsome ft. Young Lunya - Dayoo
...
Naitwa mangi
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Kwanza sina makuu sura inajieleza
Dah sibagui nguo vyovyote napendeza
Hao madada duu wanatokwa udenda
Na nikifika tu wanajisogeza
Nasio salio naongwa hadi mikokoko
Mamamilo midundo wanaleta shobo
Eti dadio dubai kunapaty njoo
Sina hizo buyu nala bati noo
Wadada wanajikweza waje ishi na miee
Wanajikweza waje ishi na miee
Call me handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome
Ok nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kona sasa wananiita handsome
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kosa sasa wananiita
Yeah taarifa za mimama nazipata
Za vibint nazipata
Sio kuogwa mi nishapelekwa dubai kula bata
Na ticket zishakatwa kila kitu bila shaka
Sura mbaya ni kitambo we sasahv nishajipata
Mzuri ka nimeoga manukato
Pua yangu ikitokeza nagongesha macho
Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato
Face smile unaweza sema natafuta kumbato
Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho
Kwenye pesa kuna raha sileti minato
Nampelekea sana moto wakapeane michapo
Na ndio sababu sina dem
Misala haiishi kutongozwa na mashemu
Birthday kila mwaka zawadi kemkem
Mpaka namwagika pesa kama chemchem
Dm nyingi nachanganyikiwa
Sifa zote kanipa mungu nimebarikiwa
Sura bango imetakata imetakata kama naogea maziwa
Watu wengine wanagombewa mimi napapatikiwa
Umesikia
Handsome
Handsome
Handsome
Handsome