Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2020

Lyrics

Mungu Yuko Wapi? - Nay Wa Mitego

...

Ney wa mitego-Mungu yuko wapi

Verse1

Nilizaliwa pekee yangu na nitakuwa pekee yangu.

Muamini Mungu wako nibaki na imani yangu.

Kama kweli kuna mbingu basi nina njia yangu.

Sio baba sio mama nitakwenda pekee yangu.

Mungu hamtupi mja wake meandikwa kwenye vitabu.

Mbona shetani ametawala na waja napata tabu.

Hivi kweli huyu Mungu yupo?

Na huu mchafuko uliokataza wametawala

Hivi kweli we Mungu upo?

Wenye roho mbaya Mungu ni wewe uwepa hela.

Wanamakosa kibao na bado hatuwaoni jera.

Kuna hawa viongozi makatili na madikteta.

Wanatenda watu wanau watu

Sababu ya madaraka wanajiona miungu watu.

Mbaya zaidi hawafi haraka watu wenye roho mbaya.

Mungu ni kweli upo na unayatazama haya.

Chorus

Hivi ni wewe ni wewe*2

Sasa mbona upo kimya.

Hivi Mungu Uko wapi*2

Hivi kweli Mungu yupo?

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status