Loading...

Ukizaliwa ft. Banana Zorro
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukizaliwa ft. Banana Zorro - Stamina (TZ)
...
Najua husikii ninayokwambia
Ila ukizaliwa nitarudia
Naomba uyatii ninatokwambia
Maana yadunia yanavutia
Kwahiyo ukizaliwa mama, ukizaliwa mamax2
Mama yako aliposema anamimba aliniboa, sikuwaza chochote zaidi yakumwambia toa.
Nisamehe maana kama nilipagawa, nilijiuliza tu hitakuwaje na kiuchumi sipo sawa.
Kumbe mungu, amekuleta kama baraka,hata ningekuwa ibrahim nisingekuta kama issiaka.
Acha na mimi mshukulu sana mama yako, kukubeba meizi 9 ningewezaje mimi baba yako.
Ukizaliwa kidume jua umeumbiwa mateso, utatimuliwa vumbi na husipewe hata leso, kuna muda wa dhiki kuna muda wa raha unaweza ukalala njaa na jirani akalala bar.
see lyrics >>Similar Songs
More from Stamina Shorwebwenzi
Listen to Stamina Shorwebwenzi Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song. Ukizaliwa ft. Banana Zorro song from album Love Bite is released in 2022. The duration of song is 00:04:51. The song is sung by Stamina Shorwebwenzi.
Related Tags: Ukizaliwa ft. Banana Zorro, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3, download Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Love Bite Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song by Stamina Shorwebwenzi, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song download, download Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song