Kudadadeki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kudadadeki - Nay Wa Mitego
...
Hey watsup mapipo good morning
It's me again baba yaga amon
Leo sitaki kuimba mi nataka nichane
Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane
Eeh fuck hates coz hate for no lesson
Dua nyingi mrudi uraiani wanangu mlioko prison
Mi niko busy bwana life ndo inanipeleka mbio
Thamani ya mwanamke imehamia kwenye kalio
Huna tako huna soko utapendwa na mamaako
Wanaume tunapungua tu wanaongezeka machoko
Kat dem pusha ebu nipe dawa
Akili ikae sawa niwachane kisawasawa
Dada ako nyumbani anasuka na wewe unasuka
Demu wako anavaa hereni na ww unavaa hereni
Kwenda bwana we sio mwanaume we dada irene
Ona msikioni vipini puani vipini
Wengine mnajichubua sio bure mnakazwa nyinyi
Usishangae kuona demu wako nae anademu wake
Bwana ako nae ana bwana ake
Kipenzi chako anakipenzi chake
Namtazama nyani usoni leo (kudadadeki)
Navua miwani sina soni (kudadadeki)
Namtazama nyani usoni leo (kudadadeki)
Navua miwani sina soni (kudadadeki)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya wanangu oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya masela oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya wanangu oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya masela oya)
Hii ndo Tz yani bongo kila kitu ni mchongo
Muda unaopoteza kusoma ungepambania michongo
Demu mwenye digri bado yupo kwenye msoto
Ila demu mwenye matako ndo anatembele mkoko
Hahah upo hapo akili kichwani mwako
Never trust everybody atakama baba ako
Makamanda mambo vipi (poaa)
Oya majita mambo vipi (poaa)
Unapata wapi nguvu yakufanya mapenzi na hauna hela
Wakati furaha yao ni tendo sisi furaha yetu ni hela
Makamanda mambo vipi (poaa)
Oya majita mambo vipi (poaa)
Umezaliwa miaka tisini na bado unaishi kwenu
Shika kichwa shika kichwa
Bado unawapendi zaidi ya watatu na bado hauna hela
Shika kichwa shika kichwa
Na kama we ni kama mimi huna mpango wa ndoa
Shika kichwa shika kichwa
Kama kweli unaamini wahuni wote peponi
Shika kichwa shika kichwa
Namtazama nyani usoni leo (kudadadeki)
Navua miwani sina soni (kudadadeki)
Namtazama nyani usoni leo (kudadadeki)
Navua miwani sina soni (kudadadeki)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya wanangu oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya masela oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya wanangu oya)
oya oyaa (oya oya oya)
Oya oyaa (oya masela oya)