Atakuoa Nani? ft. Stamina & Mabantu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Atakuoa Nani? ft. Stamina & Mabantu - Nay Wa Mitego
...
wanyonya pipi awooo pipi awooo
walamba lipsi awoo lipsi awooo
mungu amekupa sura (sura )
Tena amekupa chura (chura)
Ila kichwani makopo
unategemea rungu hili upate kula (Kula)
kahongwa gari halina kadi ametucheka Sana siku hizi anapanda bajaji
UYO UYO
starehe amefanya kazi za chomeka chomoa mwisho uchomoe kizazi
UYO UYO
Kwanza kabisa sema Asante picha
sijamaliza sema Asante insta
ukimaliza sema Asante filter
maana wee bila filter eeh unatisha
hiyo mishisha Kama gari Moshi
unavyozipenda bange
ATAKUOA NANI
umezidisha Kila part ukosi na lazima ulipwe
ATAKUOA NANI
mwili umejaa mitatuu na hiyo mitatuu unatembea kwa miguu
ATAKUOA NANI
na unavyozipenda pombe ukishalewa wanaswaga Kama ling'ombe
ATAKUOA NANI
wanyonya pipi awooo pipi awooo
walamba lipsi awoo lipsi awoo
unashinda tiktok challenge za don't ly
shata baiskeli Huna gym unataka six- pack
hutaki Mishe ndani unaji snap chat
asubuhi kwa bimkubwa unadoea chai na chapati
(KUMA NISHA NINIII)
kwichi kwichi mbaka ubust na mkongo
unajichubua hili usionekane mbongo
we mwanaume hila mwanaume wa mchongo
dressing table vipodozi utasema mwana wa kikongo
ukiombwa hela ya kusuka HUNA
ya kupakia kucha kaka HUNA
Wana wakimkonyeza mtoto wa kiume unanuna
kwahiyo wakitoa na uume tulia Jini maimuna
kutwa umbea umbea wachizi unawanyea nyea
pisi za mjini zinakuita twin an pair pair
mbaya zaidi we mdigo toka Tanga
hata ukivaa jinsi machizi tunaangalia shanga
mtoto wa manzabey urojo wa Zanzibar
na ukipiga double Tatu chalii
UTAMUOA NANI
hivi we Unamjua ngariba kwa mama umeshiba
au ndo kidume biliani wali (kumanisha Nini)
UTAMUOA NANI
Kodi ya mah kazi ya mah
alafu kazi yenyewe unachagua
UTAMUOA NANI
boy wa Dar hata bili ya bah
utasikia naenda kwa mshua
UTAMUOA NANI
wanyonya pipi awooo pipi awooo
walamba lipsi awoo lipsi awoo
wasalimie MBEYA
UTAMUOA NANI