Jiangalie ft. D.Voice Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Jiangalie ft. D.Voice - Nay Wa Mitego
...
Introo ni voice in intro hàaaa ha
ni raisi wa kitaa kwenye mziki wa mtaa
ACHIA HIYO WEE
oya jiangalie utafika kwa bwana umechoka Sana
bi dada Kama kudanga ushadanga kipumzishe kinyama
udugu jiangalie utafika kwamungu umechoka sanaaa
aaaya
maana umefanya Kama chakula haulali bila kufanya
dada unajifanya unapenda miti Kama umezaliwa polini
umewamaliza finetion wote kwanini
aaaayaaa
au ndo tuseme kinakuwasha kila saa kipumzishe bi dada kitachakaa
maana sehem za Siri Hauna unagawa hovyo utazani Mari ya Huma aaah dada wee
shoga jiangalie
utafika kwamungu umechoka sanaaa
ndugu jiangalie
utafika kwa bwana umechoka Sana
zangu jiangalie
utafika kwamungu umechoka Sana
ujiangalie
utafika kwamungu umechoka weweee aaah
nasikia pwapwa shogaangu fuko la Rambo
watoto wa keko na tabata wanakuita mchawi jogho
aayaaa
Tena punguza kuniringia kujishongondoa
mi naongea Mimi na wewe
maana nakuona unanivimbia
unajisheuwa minakucheki paka wewe
umeshona nauzauza unakitembezaa
wamekushinda kwenu walimwengu wata kufunza
mauza uza (uza)
myama fedha ukipewa kidaka tundu unaregezaa
Kama mamako alokulea kala hasara mwenzangu umekosa aibu auna hayaaaa aaah
shoga jiangalie
utafika kwamungu umechoka sanaaa
ndugu jiangalie
utafika kwa bwana umechoka Sana
zangu jiangalie
utafika kwamungu umechoka Sana
ujiangalie
utafika kwamungu umechoka hahah haha
abutwende jaliemu baba babaa
produce nesco Kaka utawauwa
Kama mchawi mwanangu una sotea tako ilo
Kama mchawi bi dada unasotea tako Hilo
Kama mchawi mwanangu una sotea tako Hilo
kama mchawi mwanangu una sotea tako
maneno kidogo
maneno kidogo
nyie maneno kidogo
aahe maneno kidogo
produce chiby rn boy hahaha
na ij man drand tz
boss max
aaaa j m eeeh
aah we meneja jombi na buu
aah produce nesco mpe hai mwanangu
sabibakora bakoraa bakora
awee brother ney wape wanangu wa fination
noma
noma
Sana
noma Sana
fination
awee boss mrisho