Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Raisi Wa Kitaa ft. One Six - Nay Wa Mitego

...

free nation

aah nilie simama mbele yenu

so mbunge ni msanii

nae Tumia sanaa kuitetea jamii

naongea nikiwa bongo sjakimbia kama roma

mkiniteka,mkinifunga bado dunia itasemaaaa

Nani kamwambia mheshimiwa tumekubali tozo

hapanaaa so Tanzania rabda Zambia au Congo

makato nimakubwa wananchi wanaumia

hivi ni kwamba hamsikii au ndo mnapuuzia

mishahara ya wapunge ni jasho la wananchi

spikaa naongea na wewe kwa niaba ya wene nchi

kuna wabunge kumi na Tisa walishafukuzwa na chama

chademaaaa inamaana hawana chamaaa ila bado unao bungeni na wanapokea mishahara hivi unatuchukulia aje! unatuona bongo lala

wimbo ulianza taratibu na sasa umepamba moto

unapendwa na wananchi kwa viongozi kaa la moto

katiba mpya ni sasa, katiba mpya ni sasa

wanaoimba niwananchi pamoja na wanasiasa

mafuta bei juu? ges bei juu? kila kitu bei juu?

mtatuua mwakaa huuu

created by maha breezy official

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status