Amkeni ft. Dora Boy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Amkeni ft. Dora Boy - Nay Wa Mitego
...
instrument.......
Nitakachokiongea mnaweza niona siyo mzalendo,
Zalendo zalendo gani? chi inaendeshwa kimagendo, wengine mwisho wa wimbo huu mtasema me mchochezi kila kitu kipo wazi mama yenu analea wezi.
Ndiyo anafuga wezi hapa kikubwa dua hata ripoti ya "CIG" hakuna aliye chukuliwa hatua, yani kodi kila sehemu na bado mnakopa daily bandari mmemuuzia mwarabu na mkataba ni wa milele najiuliza Mungu why ulimchukua John mapema?
Ulimchukua tujifunze au tupate kuhema?
Huu mtihani haki ya Mungu me nakosa cha kusema,
Kazi yako haina makosa ikikupendeza chukua na hawa.
Video za bongo zimestaki hazina tena ubunifu,
Hazikuzi presenter wapya wanaangalia nani maarufu,
Na hao maaurufu sasa kama Machangu doa, mwenye kisu kikali huyo ndo atakaye mng'oa
Amkeni ninyi hakuna elimu ya bure
Nachojua me elimu ni gharama siku zote
nachoamini cha bure hakina maana.
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana na ndo maana siku izi tuna wasomi wajinga sana,
Promo ya mama ni kubwa kuliko hata utendaji wake, mabango kila kona, akinadiwa na chawa wake.
Wanamdanganya ndege bora kuliko ongezeko la mshahara