Nikikuona ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikikuona ft. Alikiba - Nay Wa Mitego
...
it's 966,, Girl unanikosha we ndo faraja yangu usawa huu,, wengine walini toture kisa sina vyangu natembea kwa miguu...Mungu fundi ameniletea ww, unavyonikataga nakuita kiwembe tukiwa shambani unaniitaga jembe..
Na ukichoka bongo twende kwa madiba,, na uo upapa bongo watakuiba,, jinsi ulivyo mzuri unanipa shida,, na nilivyo na manguvu si ntawapiga?,, Am in love(×4)am in love with you.......×2
**Nikikuona na sweat(ayayaya)
Kabla hajanipetipeti(ayayaya
We ndo yangu every tight(ayayaya)
Ayaya(×2)......×2
**Ume go yo fire, moyoni nwangu sitouweka mwiba nitaulinda usiku mchana
Plz don't get tired, walojaribu kukuiba nshawafanya kitu mbaya
**Baby u change my life, ikitokea tumeachana Mungu akupe good life, imani yangu inanituma mpaka umauti we ndo wife, sipendelei ugomvi ila for you i can fight
**Mama unaniweka roho juu juu
Nataka twende town kwa miguu
Penzi lako noma changanya na jujuu
Na kama shule we ni chuo kikuu
Na ukichoka bongo twende kwa madiba, na uo upapa bongo watakuiba, jinsi ulivyo mzuri unanipa shida, na nilivyo na manguvu si ntawapiga? Am in love(×4) am in love with you.......×2
Nikikuona na sweat(ayayaya)
Kabla hujanipetipeti(ayayaya)
We ndo yangu every tight(ayayaya)
Ayayaya(×2).......×2
**Mama unaniweka roho juujuu
Nataka twende town kwa miguu
Penzi lako noma changanya na jujuu
Na kama shule we ni chuo kikuu
Na ukichoka bongo twende kwa madiba, na uo upapa bongo watakuiba, jinsi ulivyo mzuri unanipa shida, na nilivyo na manguvu si ntawapiga?
**Ume go yo fire, moyoni mwangu sitoweka mwiba nitaulinda usiku mchana
Plz don't get tired, walojaribu kukuiba nshawafanya kitu mbaya
Nikikuona na sweat(ayayaya)
Kabla hujanipetipei(ayayaya)
We ndo yangu every tight (ayayaya)
Ayayaya(×2)....