Starehe Yako ft. Jux Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Starehe Yako ft. Jux - Nay Wa Mitego
...
Touch touch Ayie ayie baba heee *2 Unazaliwa mara moja na unakufa mara moja ata kuishi unaish mara moja sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja tofauti ni matamanio hapa ndo penye vihoja kila mtu na starehe yake bhana ndo maana yake
Starehe yangu ni mziki napenda na wanawake kuna wapenda tungi wazee wa gambee raha ya pombe ulewe hyo ndo starehe, wavuta bangi nae wanasema hyo ndo starehe hawezi kula, hawezi lala mpaka avute mwngne starahe yake yeye ni kupiga chabo tu mechi ucheze ww ukapambane ukapige deo hyo kama hupendi starehe yangu nam sipend ya kwako kila mtu na stareh yake bana we fanya ya kwako me naona fresh tu yan ni raha tu maisha matamu ila mafupi we enjoy tu
Ayeeee ayeeee babaaaaaa *2
Jux
Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable na watoto sio tu vibigibig napenda na vipotabo kila mtu na starehe yake kila m2 kila m2
Starehe ni nying na kila mtu ana yake usimwngilie mtu kwwnye starehe yake starehe izi starhe zingne bn noma sana kuna wakina dada starehe yao kusagana, anaeacha mwanamke ndani anaenda kupiga nyeto hyo ndo starehe yake usije dhani ana mapepooo kwenye starehe ya mapenz akiamung tupo weng ya kuzin moton tutaenda wengi kila mtu na starehe yake bn ndo maana yake naejua utamu wake bn ndo maana yake uvutaji wa sigara ni atar kwa afya yako hakuna noma vuta sindo starehe yakE
Ayee ayeeee babaaaaa