Michano Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Michano - Nay Wa Mitego
...
kuna vita mura viita
its crazy trauma
vita in vita mura iwe bunduki au sime
wakubwa wakigombana shika jembe kalime
weka mikono juu tusali sala ya mwisho (Amen)
wambie kwamba siogopi vitisho
si support ujinga na sipendi miyayusho
ayo matusi ya mabishoo mi nawaona wao mwisho
naona masikini amepata matako yanalia mbwata
amesahau alikotoka na kuhara kama bata
wamesifiwa mbio wamepitiliza kwao
najua mwisho wa movie lazima itakula kwao
mambo yanabadilika pita kwa page ya mange
siku hizi anapost umbea tu na mambo ya kusee...
wananitafutia sababu ilimradi tu wanifunge
naomba niwakumbushe mi msanii sio mbunge
unasema shabiki yangu alafu unanitukana
shabiki mandazi kamshabikie mamako
Chorus
wanangu mmemisi niniii
michano nini michano nini michano
semeni mnataka niniii
michano eti nini michano nini michano
kitaa mmemisi niniii
michano siwasikii michano siwasikii michano
semeni mnataka niniii
michano nini michano eti nini michano
bongoflava sio bongo movie wadangaji acheni ujinga
Siku kila Malaya wa mjini anataka kuimba
hawana nguvu za kiume vijana wengi wa bongo
jogoo hapandi mtungi mpaka atumie cha mkongo
wanangu mmemisi michano sio bolingo wala chakacha
wambie hii imetoka ipo nyingine inafuata
Dada zao wana nambie
Nay unaga show mbovu
si mmekula sababu aya toeni mapovu
najua hamfiki mbali izo ni mbio za kuku
mitandaoni mbwembwe nyingii kwenye show Hamna kitu
kama hupendwi hupendwi tu shabiki shangwe hawakupi
mwenzako nashangiliwa ata nikisifia chupi
Mara ooo nafanya kazi nzuri Ila nahisi inaibiwa
kuna fulani anakunyonya kwani we una maziwaaa
Chorus
unasema shabiki yang alafu unanitukana shabiki mandazi kamshabikie mamako
wanangu mmemisi nini
michano nini michano nini michano
semeni mnataka nini michano eti nini michano nini michano
kitaa mmemisi nini
michano siwasikii michano siwasikii michano semeni mnataka nini michano nini michano eti nini michano
vita in vita mura iwe bunduki au sime
wakubwa wakigombana shika jembe kalime
Mr LG