Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2018

Lyrics

Alisema - Nay Wa Mitego

...

Alisema alisema

Alisema nyerere Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka

Alisema Alisema

Alisema mwalimu Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka

ni dhambi kukaa kimya

ni dhambi kutokemea

kwa maovu na ukatili unaotokea

najaribu kukaa kimya ila nafsi inanisuta

hata usiposema na bado yatakukuta

ni bora ukasema sasa mana wakati ni ukuta

vijana wamepewa madaraka wanatukana wazee

hivi mnadhani mtakuwa viongozi milele

mungu yupo acha tuone uko mbele

naona hofu imetanda watu wanaogopa kusema

maisha yamekuwa magumu nayo mnaogopa kusema

acheni uoga kuhisi mtakufa mapema

rest in peace Akwilina mungu akulaze pema

kesi ya kifo chako huku bado ni lawama

mama ananikumbusha watoto bado wanasoma

mwanangu kaa kimya usije kamatwa tena

sawa mama hii ya mwisho naapa siongei tena ila

Alisema Alisema

Alisema nyerere Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka

Alisema Alisema

Alisema mwalimu Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka

siyo Kitan tu ata walio maofisin

pesa imekuwa ngumu lawama zote kwa John

mwalimu lawama zao zote Kwa John

wakulima lawama zao zote kwa John

wafanyabiashara nao lawama zao zote kwa John

bodaboda, bajaji nao lawama zao zote kwa John

wamachinga, wàvuvi nao (zote kwa John)

yapo mazuri anayofanya hongera ziende kwa John

mi naona anajenga sasa kusema

zipo mbeleni

jua kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu (no)

lengo ni moja tu kuijenga nchi yetu

hakuna mbunge wala raisi wakukuletea chakula

kukupa kazi kisa ulimpigia kura

ufanye kazi na ndo upate chakula

nawaskia wabongo eti mnaitaka vita

mnaitaka vita ivi mnaijua vita

iza karibia na Kongo mpaka Leo wanajuta

ila isiwe sababu ya kutufanya tukae kimya

kiongozi akizingua hatumwachi tunamchana

poleni waandishi wa habari kazi yenu imekuwa ngumu

izo ni changamoto tu msikimbie majukumu

mama ananikumbusha watoto bado wanasoma

mwanangu kaa kimya usije kamatwa tena

sawa mama hii mwisho naapa siongei tena ila

Alisema Alisema

Alisema nyerere Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka

Alisema Alisema

Alisema mwalimu Alisema

vijana wote na tuamke na sasa tuanze mchakamchaka



mmmmh mmmh mm

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status