Akadumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Akadumba - Nay Wa Mitego
...
Aahh ahhh....
mhh akadumba eehh(let's go) akadumba dumbaa (let's go)×4
mtoto wa kike unavojituma mpaka unapendwa na mama
jinsi ulivojaza nyuma mtaani napata lawama
wala sili silali, nikilala kitumbo chali,
unapokuwa mbali natamani nifunge safari,
Come njoo mahaba nikupe, wenye wivu wote wajinyonge,
Come punguza mapepe wee ndo dokta njoo unigangee
Umefunzwa unyagoni style zako zinanitekaga
Unanipa burudani kiuno chako unavokatikaga
Hivi we ni wapi wee? kabila gani wee? umefunzwa na nani wee eeih eehh eehhh×2.
Nishadata nawee wewee, simuitaji mwingiiine wee
Nishadata nawee wewee, simuitaji mwinginee ehh wewee.
akadumba eehh(let's go) akadumba dumbaa . (let's go)×4.
Wanasema unaringa ringa baby, unapokuwa na mimi eeh
Wale wasiotupenda hata salamu wala usiwapatiee.
Ukiona sijatulia nenda kaniroge nimeridhia,
Uzuri na yako tabia kila mwanaume unamvutia,
Me sielewi wanakupigia aki ya nani wallah nitazimia baby,
Faraja ya mwanamke naijua miee, tulia na miee ili nikutunzee
Umefunzwa unyagoni style zako zinanitekaga
Unanipa burudani kiuno chako unavokatikaga
Hivi we ni wapi wee? kabila gani wee? umefunzwa na nani wee eeih eehh eehhh×2.
Nishadata nawee wewee, simuitaji mwingiiine wee
Nishadata nawee wewee, simuitaji mwinginee ehh wewee.
akadumba eehh(let's go) akadumba dumbaa . (let's go)×4
Asante asanteee the true boy, Mr t.touch
Free nation, its nine double six baby,
McCall, mkng'oto jazz band.........Ahhh eehhh