Utajibu Nini? Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Utajibu Nini? - Balaa Mc
...
wee moshizo utawauwa utajibu nini ,siku ikifika utasema nini we ndungu yangu utajibu nini siku ikifika utasema nini weweeee ebu Kwanza vuta picha palapanda ishalia,milango yatoba ishafungwa wapi utakimbilia mwenzangu upo geto uja oa umekumbatia uluba ulikesha baa mkononi Una chupa ya bia we dada utamweleze mini mungu wako Una danga nje wakati ndani UN's mume wako we Baba ume yelekeza familia yako pes Una Maliza club kutazamia Matako