We Nani? Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
We Nani? - Balaa Mc
...
we nani halo halo halo
daah ina maana namba ulifuta serious umenisahau kabisa
sasa kitambo kidogo miaka sasa imeipa ila sio kweli umenisahau kabisa
Ila sawa naskia umeoolewa bwana
tena una mtoto umefanana nae sana
honge hongera mama mi bado nipo naendelea kupambana
me ndo yule uliyenidanganya unanipenda
kisa maskini ukaniacha ukaenda
ulitaka nyama ulishindwa kula mlenda
mwisho wa siku ukanitoroka ukaenda
ila kipi ulitaka sijakupatia
mapenzi ya dhati nilikuonyeshea
kuzingatia nilikuzingatia
kwa mama sara kijora nlikulipia
hatugombani nakukumbusha tu
uishi kwa amani usiishi roho juu
simu yangu sio ya ukoo nilikumisi tu
japo umeondoka ila moyoni unaishi
ila sawa naskia umeolewa bwana
tena una mtoto umefanana nae sana
honge hongera mama mi bado nipo naendelea kupambana
halo halo halooo#4