Umalaya ft. D Voice Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Umalaya ft. D Voice - Balaa Mc
...
chiiiii
oyah weeweee oyah oyah weeweeee
wololiloliloliloliloliloliloooooooh
oyah oyah weeweeee Pacheko midundo
ona mapenzi somo tena la hesabu
nimegundua kwanini shule sikupenda hesabu
kwenye ngono nafanya bila hesabu
nazidisha nagawanya nikitoa tu matibabu kujitibia
unapotoa wenzio wanajumlisha ukizidisha wenzio wanagawanya
mapenzi somo msiojua nawafundisha
ukijifanya player kwenye timu utapewa namba
swali la uzushi muulize x wako kwenye list mpo wangapi?
akikupa idadi yake plus na yako nambie umepata ngapi?
we dada muulize bwana ako kwenye list mpo wangapi?
akikupa idadi yake plus na yako nambie umepata ngapi?
aya sasa huo ndo umalaya!
mtu mzima huna haya!
we mama mubaya!
ushamaliza watu wote huna baya!
Huo ndo umalaya mtoto mdogo huna haya! oooooh
we baba mubaya
ushamaliza watu wote huna haya
auna haya! aaaaaaaaa
mapenzi hayaeleweki yalivyo!
mapenzi hayasomeki yapoje!
mana anaekuchekesha ndo ata kuliza
anaekupa pole ndo ata kuumiza
unapohisi Kuna mwanga ndo Kuna giza
hakuna true love watu wanaigiza
we ng'ang'ana ni mpaka uoneshwe ndo ujue kama hupendwi
amecheza mechi we ndo amekuweka bondi iiiiiiiih
swali la uzushi muulize x wako kwenye list mpo wangapi?
akikupa idadi yake plus na yako nambie umepata ngapi?
aya sasa huo ndo umalaya
aah mtoto mdogo huna haya
aaaah we baba mubaya
aaooh umemaliza huna haya
ai am London boy wameisha
aya sasa nenda basi we Kama hunitaki
unaringa umepima kwani mpo wangapi
we dada nenda basi we kama hunitaki
unaringa umepima kwani mpo wangapi
aya sasa sugua gaga mpaka mguu ung'ae
unataka Hela ya vocha ntakutumia badae
kwanza sura huna tako huna hujabarikiwa unanuna
na ndo ivo teali nishakuchana Cha kunifanya hauna
aai mama
acha baharia aah balaa mc 26 kipaji eeeh
aah nikiwa future music future brand
aah Pacheco midundo aaah nikiwa na?
am London boy Hhehe
aaah timu ileile 26 kipaji eeeh
we meneja smoulder
watoto wa Mbagala Temeke Kinondoni mpaka Ilala aah show Kali wewe
Huo ndo umalaya iih mtu mzima huna haya huo ndo umalaya aaah
Pacheco midundo tena
Future
written by @Ranum_flavour 75