Wivu Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2024
Lyrics
Wivu - Balaa Mc
...
dj kila mtu mbaya oooh acha niitwe fara mjinga kwako nishaa jifia sijiwezi huba limekolea mahaba ninayo pata kwako walahi sijawah patiwa me siwezi bila wewe bila singe kimbia ooh nitapeleka barua kwenu na wazazi wako watanijua nikutolee mahali ili tufunge ndoa aah eee tafadhali nitunzie heshima yangu wananiamini sana wazazi wangu usije ukanialibia maisha yangu ukaichafua na kuishusha heshima yangu uu mwenzako me nawivu ujue bby me nawivu uu unajua me na wizu ujue kwako me nawivu sana