Sawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sawa - Balaa Mc
...
wololilolioooooo
ooh jaman
sawa si umeamua sawa kwenu ntaleta barua
sawa si umeamuaa sawa me ntakuja kukuoa
sawa si umeamua sawa kwenu ntaleta barua
sawa si umeamuaa sawa me ntakuja kukuoa sawaa
na sina kitu sina pesa nipo low
sina kiki sio star sina show
sina beat za kuflow sina dooh
mlo wangu mmoja nitakupa nini mamilo
istoshe mimi msela siyo bishoo