Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Rip Magufuli - Balaa Mc

...

ololiloo aaaah chunchu weee

Hapo ulipo Mungu akufanyie wepesi nikitazama picha yako inanitoa machozi

ni kweli sijala kweli sijala

siamin hiki ninachokisikia ghafla

milango imefunguliwa nenda salama dua njema twakuombea ulale salama

Baba ametangulia tumuombee nasi sote tutafatia

watanzania tushikamane tupendane tuliongoze Taifa letu la Tz

Baba ndo hivyo tayari kashatangulia na sisi sote tutafatia

moyo wangu tulia Moyo tulia ndo yashatokea acha kulalama punguza kulia punguza kulia

usilie sanaa utaniliza na mimi yooooo

Rest in peace Baba

rest in peace rest in peace ×4

Magufuli

Tukikumbuka mema uliotufanyia una roho ya huruma

watu ulisaidia tulipofanya vizuri kofia ulitupatia

hospital shule zote umetujengea

Barabara za juu fly over lakin km utani leo game over

Daima tutakumbuka Baba milele tutakukumbuka ooooh

Rest in peace Baba rest in peace rest in peace

rest in peace baba rest in peace rest in peace Magufuli

Rest in peace Baba rest in peace rest in peace

......... beat.........

beats........beat...............

Mi naitwa Balaa mc moja kati ya watanzania ambao msiba huu umenigusa sana ndani ya nafsi yangu tutakukumbuka daima bwana ametoa bwana ametwaa jina lako lihimidiwe umeacha alama yako ktk nchi ya Tz Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi amina

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status