Nakuja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakuja - Balaa Mc
...
vinanda clasc oliolioli ooo namchumba mbona utokei mama wee nimeshachoka kusholeshana niambie na mchumba mbona utokei nakusubili Mimi nishafika toka Niko hapa toka alfujali Gest mambo yako swali fanya halaka mamtu fanya uwai mwenzio nimekumic mamilo usipokuja usipo kuja akia mungu nitaumia loho nakupenda mi msela sio bishoo njoo basi mwenzako nimemic shoo si ulitaka ela ya wigi nikakupa ata kijola kwa mama sala nishalipa panda ata bajaji ili uawi mi nitalipa kuhusu kula mama mtu ilo ondoa shaka siku hizi mbona muongo mamilo mdawote unasema upo karikoo punguza kujiangalia kwa kioo fanya halaka mwenzako mm nimemic shoo nikipiga simu mda wote unasema fanya uwahi nitakuimbia seosema na ukiwai nitakupeka kwa mama sio utani aniamekumic Sana mwenzio nimekumic mwenzio mami loho usipo kuja akia mungu loho nakupenda msela sio bishoo fanya halaka mwenzako nimemic shoo ohooooo ohoo mwangu njoo njoo njoo ulione ili hapa ili hapa ili hapa njoo ulione acha baria ahaaaaaa jamani aipendizi kuganda kama sanamu njoo Kati nikuonyeshe mashasham aipendizi kuganda kama sanamu wee njoo Kati nikuonyeshe wanangu ulemchezo wa kuganda vinanda mganda haa uho unaganda baria uganda ule mchezo wa kuganda moshizo unaganda haaa we unaganda dj timba unaganda habari ndo hiooo he jamani amapiga yope kama wasafi huyo sobetwa anapiga yope kama wasafi yope kama wasafi fazili anapiga yope kama wasafi mwanangu anapiga yope kama wasafi kingwede anapiga yope uwezi mm napiga yope uwezi mm napiga yope uwezi mzuka ukipanda ata nguo mi navua misiogopi balaa mi navua mzuka ukipanda ata nguo yeye anavua misiogopi balaa mi navua na mzuka ukipanda ata tunda anavu yeye aogopi ata nguo yeye anavua navua wee habari ndoo hiooo nakubali Sana vinanda clasc porjuza fazili chuchua anakubali loby Sana etretement we kifundo lakii nakubali dizaina msomaline mdogo balaa naongee watoto wa bad antans haaaa ahaaa unajua mda mwengine tunabarika kama hivi sio bakola tu hii hapa nyingine tena