Sawa Ntaacha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sawa Ntaacha - Balaa Mc
...
mmmh 26 kipaji najua unachukia sana ukiona na kunywa pombe roho inauma ukiniona na vuta bange
kuigwaa njian miselenga mchumba na kukela Sanaa sawaa nitapunguza kuvuta bangi Ila siwezi kuwakataa badianta nduguzangu Ila siunakumbuka nilikealikwambia unanipenda mimsela utoweza kuni vumilia king'ang'anizi ukang'ang'ania eti balaa nakupenda siwezikujizuia
(Sawa ntaacha kwasababu nakupenda nami nakupenda mamiloo Sawa ntaacha uwe mvumilivu mi msela ujafagilia mabishoo Sawa ntaacha Ila sio mojakwamoja ata moja nitaenda kupashakoo Sawa ntaacha ok sivuti bangi silewi tena kwaajili yako mamiloo)
oooh mamiloo siokwamba sikupendi jana simu niliweka Bondi Mimi oh mamiloo siokwamba sikupendi tatizo Mambo mengine muuni Nina vingi vipindii
siunajua balaa sina kazi, kaziusela napambana ili nawe uvae vijora nafosi road night ili nipate ela nikupe ufulahi ili uwe Wangu kisula nisamehe Jana nilikukela Sana najua nilikupiga ulipochelewa mlango kufungua nisamehe mama nipombe sikujua nakuaidi uto nionatena
(sawa ntaacha kwasababu unanipenda nami nakupenda mamiloo Sawa ntaacha uwemvumilivu ujafagilia mabishoo Ila s