Nisamehe Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2022
Lyrics
Nisamehe - Balaa Mc
...
26 kipaji
Balaa mc
Utamuomba wapi utamwambia linii
Ushachelewa ushachelewa
Mda wote ulikua wapi
Hasikii huyo hasikii huyo
Ata akisikia hawezi kukujibu
Hakuoni huyo hakuoni huyo
Ushachelewa mda wote ulikua wapi angekusamehe
Mambo yako hayaendii
Kila unachofanya kina kugomea
Mpaka unarudi kwa mwenyezi
Na kudhani labda umemkosea
Bila kufikiri kwa uwazi kwa uwazi
Kua kuna binadamu mwenzio ulimkosea
Haukutaka kukubali kua nimekiri kosa nisamehe nimekukosea
Maumivu unayajuaa moyo unaumaa
Hatua unaweza ukachukua
Bila ushauri wa mtu tu ukaamua ukajiuwa
Tulipishana kauli tuu
Sikujua kama haya yote kama yatatokea
Mbona tuliachana vizuri tu
Lakini neno nisamehe sikumtamkia
Nilichukulia tu kawaida atanuna baadae penzi litaendelea
Kumbe najiongopea mapenzi yanaumiza kinoma noma sio poa
Tatizo sikujua wambea wamenichoresha
Mpka mchumba kanifumania
Kweli ilimuuma sana hakuongea chochote alitoka tu akiwa analia
Aliondoka kwa hasira amenunaa
Bila kujua wapi anakwenda mama
Laiti ningejuaa ningemwita
Mapema tuyamalize yasingetokea
Kajiuwa kajiuwaa (kajiuwa)
Nimechelewa nimechelewa (nimechelewa)
Kumwambia anisamehe nimekosa mama
Nisamehe tena sitorudia
Nisamehe (ushachelewa ushachelewa ushachelewa muda wote ulikua wapi)
Nisamehe (ushachelewa ushachelewa ushachelewa muda wote ulikua wapi)
Nisamehee
Nisamehee
Utamuomba wapi utamwambia linii
Ushachelewa ushachelewa
Mda wote ulikua wapi
....