Inauma Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Inauma - Aslay
...
Tuna siku tatu toka tumeachana
Yani juzi kuamkia jana
Yani ata wiki haijaisha kinachonsikitisha tayari ameshapata bwana
Alafu awazi haoneshi dalili ya machozi
Yani bonge la suprise amenifanyia
Mwili wote umeingiwa ganzi
Inamaana alikua ananisaliti
Ndo mana haikupita ata wiki
Inauma maumivu hayasimuliki
Kuona wakipetipeti hadharani
Wanajua kunrusha roho
Wakiniona ndo wanashikana
Ma love bite kwenye shingo
Kwa mdomo ndo wanalishana
Yalaah weeeh yalaah we inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
(Yalaah weeeh yalaah we inauma)
Yalaah weeh yalaah we inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Najikaza najikaza lakini ukweli inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Aiyoooo lilelilele aah lilelelee
Jamani mi ndugu yenu ninateseka
Nitahama nivikimbie hivi vibweka
Majirani nao washaanza kunicheka
Nyimbo za mafumbo ameachwa ameachwa
Akili inanituma nikapigane
Ila mwana mbavu kajazia simuwezi
Natamani nimtukane ila nikimuona nabaki kigugumizi yani
Naomba wafe baharini waliwe na papa
Alafu yule papa avuliwe aletwe hapa
Nimle nimshibe na miba niwape paka
Wivu umenishika nimechoka nimechoka
Wanajua kunrusha roho
Wakiniona ndo wanashikana
Ma love bite kwenye shingo
Kwa mdomo ndo wanalishana
Yalaah weeeh yalaah we inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
(Yalaah weeeh yalaah we inauma)
Yalaah weeh yalaah we inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Najikaza najikaza lakini ukweli inauma
(Yalaah weeh yalaah we inauma)
Nasikia wivu
Inamaana maghetton ndio haji tena
Mwenzenu nasikia wivu
Alivyonipa mimi anampa yule bwana
Nasikia wivu
Ooh inauma
Mwenzenu nasikia wivu
Jamani we inauma
Nasikia wivu
Inauma aah
Mwenzenu nasikia wivu
Nasikia nasikia wivu
Nasikia wivu
Eeeh le lele
Mwenzenu nasikia wivu
Inayoumiza wivu