NAHITAJI NEEMA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NAHITAJI NEEMA - Paul Clement
...
Wengi wananijua kama shujaa na wanatamani kuwa kama mimi ila hawajui nina mwiba na NEEMA ya MUNGU ndio inanitosha Mimi si shujaa mbele za MUNGU Sababu ni mwanadamu na ni MDHAIFU
naishi Kwa neema yake tu kaniumba Kwa mfano wake tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA yako tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA YAKO tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
Maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA YAKO tu×2
Nitanyenyekea mbele za MUNGU
Maana jinsi nilivyo si kitu
NAHITAJI NEEMA YAKO tu×2
Say(SIWEZI×3
Bila wewe Siwezi×5
bila wewe Siwezi×4
NAHITAJI NEEMA YAKO tu×2
Ninavua vyeo vyangu mbele zako
Ninavua Umaharufu wangu mbele zako
Ivyo Nahitaji NEEMA YAKO tu
NAHITAJI NEEMA YAKO TU
Ninavua vyeo vyangu mbele zako
Ninavua Umaharufu wangu mbele zako
ivyo NAHITAJI NEEMA YAKO TU
NAHITAJI NEEMA YAKO TU
SIWEZI×20
NAHITAJI NEEMA YAKO TU×2
NINAVUA VYEO VYANGU MBELE ZAKO
NINAVUA UMAHARUFU WANGU MBELE ZAKO
NAHITAJI NEEMA YAKO TU×2