Shukrani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Shukrani - Paul Clement
...
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante
Najiuliza, Nikulipe nini
Kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi,
Siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Nachojuaga, hua unaongezaga
Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru
Nachojuaga,
Hua unaongeza, zaidi
Sikushukuru tu kwa haya uliotenda
Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda
Huku nikiamini,
Shukrani ni sauti ya imani
Fedha (Haitoshi kukushukuru)
Dhahabu (Haitoshi kukushukuru)
Ee Baba
Nikulipe nini, nikulipe nini
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE
Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE
Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE
Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE
Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE