Mshukuru Mungu ft. Ambwene Mwasongwe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mshukuru Mungu ft. Ambwene Mwasongwe - Paul Clement
...
Mshukuru Mungu maana ni sauti ya imani
mshukuru Mungu kwa yote atendayo
Mshukuru Mungu maana ni sauti ya imani
Mshukuru Mungu kwa ya sasa na yajao
Mshukuru
Mshukuru Mungu maana ni sauti ya imani
mshukuru Mungu kwa yote atendayo
mshukuru Mungu maana nisauti ya imani
mshukuru Mungu kwa ya sasa na yajayo
nitashukuru kwa yajayo maana nini kwako
hatakama macho hayajaona
naamini yatakuja
haijarishi sasa naona nini
kesho yangu ina Nuru
haijarishi sa nasikia nini
kesho ina habari njema
mshukuru
mshukuru Mungu maana nisauti ya imani
mshukuru Mungu kwa yote atendayo
mshukuru Mungu maana ni sauti ya imani
mshukuru Mungu kwa ya sasa na yajayo
nakubari wema wako
nakubari njia zako
sikupangii utendeje?
kazi yangu ni kushukuru
natarajia yale mema yajayo
kwa shukrani nakutukuza
nataraji yale yanayokuja
kabla hayajaja nayamiliki
haijarishi sasa naona nini
kesho yangu ina Nuru
haijarishi sa nasikia nini
kesho ina habari njema
Mshukuru Mungu maana nisauti ya imani
Mshukuru Mungu kwa yote atendayo
Mshukuru Mungu maana ni sauti ya imani
Mshukuru Mungu kwa ya sasa na yajayo
Mshukuru,Mshukuru, Mshukuru Mungu
Mshukuru,Mshukuru, Mshukuru Mungu
wewe Mshukuru usiache ee
Mshukuru Mungu
kwa yasasa na yajayo mshukuru Mungu
Mshukuru, Mshukuru, Mshukuru Mungu
Mshukuru,Mshukuru, Mshukuru Mungu
kwa yote atendayo
Mshukuru,Mshukuru, Mshukuru mungu
kwa wema na nafadhiri
Mshukuru,Nshukuru, Mshukuru Mungu
Mshukuru mungu
Mshukuru
ee eeeh
Mshukuru
usiache
Mshukuru Mungu
Mshukuru Mungu
Mshukuru,Mshukuru, Mshukuru mungu
Mshukuru Mungu (kwa yote)
we baba
mshukuru
we we wee
Mshukuru Mungu
Mshukuru (Baba)
Mshukuru,Mshukuru
we iii
Mshukuru Mungu.
Mshukuru Mungu
Mshukuru
ee wewe.eh
Mshukuru
wee weieee
Mshukuru Mungu
Mshukuru, Mshukuru
uaminifu kwake
Mshukuru Mungu
eeeeh
haleruya
eeeeh
oooh lolooo
eye eyee