Zawadi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Zawadi - Paul Clement
...
Kila siku Mungu
Anatupa zawadi
Zawadi ya uhai
Na afya njema
Hata tukikosea
Anatupa zawadi
Zawadi ya uhai
Na afya njema
Hivyo neno asante
Litakaa kinywani
Mwangu daima
Bila kukoma
Ndio maana kila siku
Ninapo amka
Ninashukuru Mungu
Kwa zawadi
Wengine wamepata
Wengine wamekosa
Ninapo waona
Namshukuru Mungu
Nashukuru
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Nashukuru
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Asante
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Nashukuru baba
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Anipaye nguvu za kupata utajiri
Sitamshukuru kwa mali bali
Kwa uhai
Uhai ndiyo nguvu za kupata utajiri
Hivyo mi namshukuru kwa afya na uhai
Si subiri mpaka niwe navyo vingi
Vingi vipo kwenye afya na uhai
Kwa uhai nashukuru
Eh baba nashukuru
Kama si wewe nisingalikuwepo
Ndio maana kila siku ninapoamka
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi
Wengine wamepata
Wengine wamekosa
Ninapowaona
Namshukuru Mungu
Nashukuru
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Baba asante
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Nashukuru
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Asante baba
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Kama si wewe nisingalikuwepo
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Asante kwa huruma
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Asante kwa neema
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Nashukuru
Kwa zawadi ya uhai na afya njema
Uuh
Uuh
Mmmmh
Oooh
Kila siku Mungu anatupa zawadi
Zawadi ya uhai na afya njema