
UNIKUMBUKE
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
UNIKUMBUKE - Ambwene Mwasongwe
...
nimekuita wambie watu ushuhuda wangu, miaka tisa nimekaa hela,nimefungwa kwa kisa la kusingizia,nashukuru Mungu nimetoka. usiku ule nilikamatwa kama mchezo na mke wangu na mtoto mdogo..nikadhani labda walikuwa wanatania labda ilikuwa siku ya wajinga hakuna mtu alielewa
ukweli wa maneno ya ushahidi wangu..wala sikuwa na wa kumweleza akanielewa,mazingira ya kesi ushahidi mazingira ya kazi zilinibana mpaka mke wangu kaniambia kama umefanya kiri kosa tujue moja..nikumbuke kumbuka haki yangu sikufanya ubaya..sikutenda ubaya..namna walivonishtaki kwa hila na vita nililia...eeihh..Bwana unikumbuke nililia eeeh unikumbuke bwana haki yangu..mke wangu alivokufa nikiwa jela..ungua kwa moto kwa kuwasha mshumaa ndanj ya nyumba...mkumbuke mtoto mchanga asiye na hatia..mkumbuke dada aliebaki alikufa kwa mshtuko kwa ajili yangu eeih..!!...Nilidhani Mungu kalisahau faili langu..nikadhani kwamba nitaibika sikuwa tena na tumaini lililobaki haki yangu ilikuwa tumaini pekee waweza elewa shahid yangu ilikuwa Mungu labda na wale waliouwa mwisho wa siku Mungu alinitetea na waliofanya kosa kuonekana..Haki yangu ikastawi kama mtende na mwelezi wa Lebanon..walinichimba hawakuningoa sababu ya Mungu waliniinamisha hawakunivunja walinitikisa sikupukutika walinichuma ili niishe..ee bwana ulinitetea na hali yangu..eeih bwana..kumbuka maadui walivyonizunguka..kumbuka walivochafua jina langu..ivi kweli yesu ulisafisha Jina langu...eeh bwana uwakumbuke na kuwarehemu makosa yao..nikiwa jela bado sikujui..nimetoka nimeokoka nakujua unikumbuke...bwana nikumbuke usinishau..Natangaza fadhili zako..nimekumbukwa'' nimefurahi'''..nimepakwa mafuta mabichi..bwana wewe ni nuru yangu..weweee eeh aleluyaaa..nimekumbukwa nimefurahii
Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe UNIKUMBUKE MP3 song. UNIKUMBUKE song from album UNIKUMBUKE is released in 2021. The duration of song is 00:07:51. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: UNIKUMBUKE, UNIKUMBUKE song, UNIKUMBUKE MP3 song, UNIKUMBUKE MP3, download UNIKUMBUKE song, UNIKUMBUKE song, UNIKUMBUKE UNIKUMBUKE song, UNIKUMBUKE song by Ambwene Mwasongwe, UNIKUMBUKE song download, download UNIKUMBUKE MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
frankjames j5n54
crallian
mtumishiii
Genchy001
Mungu wa mbigu ni mkuu zaidi
regina sabaciudrm
Mungu azidi kukubariki sana kaka Ambwene
martin255Og
Beautiful song's
Julieth Stephano
beautiful Jesus
scolastica kikolahzhj1
MUNGU atabaki kuwa MUNGU
shasna gal
nabalikiwa sana
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125