Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Wimbo - Paul Clement

...

eeh Mungu wangu nisaidie nimekata Tamaa maneno ya watu yamenifanya nijione duni nijione dhaifu Lakini Neno lako lanipa nguvu yakuendelea mbele Na wakati huu nikiwa naongea nawe ni usiku sana bwana Kwa maana sioni chochote wala sina tumaini Na tena sina furaha ninasubiri asubuhi ifike haraka ili furaha irejee sababu umesema furaha yako yaja asubuhi na tena umesema furaha yako hiyo ndiyo nguvu yangu

wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa Kinywa oooh...hatakama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba aaaah siku ya kunitua mzigo mzito bwana imefika siku ya kunifuta machozi ya uchungu bwana imefika lakini yatakapo toka machozi ya furaha bwana usiyafute maana nitafurahi kuyaona yakitoka machozi pangu kwa maana ni ishara ya ushindi utokao katika mkono wako eeeeh...

Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa aaaah....

Hatakama nisinge kuwa Na kinywa bado ningeimba say... (wewe ni wimbo)


(chorus)

(Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywaaa aaah...

Hatakama nisingekuwa Na kinywa bado ningeimba aaaah....)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status